Saturday, June 27, 2015

UCHAFU wakithiri soko la Buguruni, jijini Dar

Wafanyabiashara wa ndizi wakiwa wamepanga bidhaa zao chini
MIKAKATI ya kupambana na uchafu wa mazingira katika masoko mbalimbali jijini Dar es salaam bado inaonekana kuwa butu kutokana na kukithiri kwa uchafu katika baadhi ya masoko jijini humo hususani soko la  Buguruni


Dira ya Mazingira ilitembelea soko la Buguruni ambapo ilishuhudia soko likiwa na uchafu wa majitaka katika soko hilo huku wafanyabiashara wakipanga bidhaa zao chini hali inayotishia usalama wa afya za walaji.
Baadhi ya wafanyabiashara wameelzea hali kuwa inasababishwa na viongozi na wataalamu kukosa mbinu za kisasa za kupambana na uchafuzi wa mazingira

No comments:

Post a Comment