Thursday, July 30, 2015

TAKUKURU na Uingereza waendesha mafunzo nchini



Bwana Phill Jones na Mkurugenzi Takukuru Dk Edward Hosea 
WACHUNGUZI  kutoka ofisi 27 za mikoa za TAKUKURU wanapata ujuzi kupitia mafunzo yenye kugusa masuala ya utakatishaji wa fedha, kupata taarifa na mlolongo wa uhalifu kwa kutumia sheria za sasa za Tanzania.


Mafunzo haya yamefadhiliwa na DFID kama sehemu ya Mpango wa Kuimarisha Mapambano dhidi ya Rushwa Tanzania (STACA) na inasimamiwa na Afisa wa Uingereza toka kitengo cha NCA, Bwana Phill Jones.

No comments:

Post a Comment