Tuesday, February 9, 2016

MAPIGANO ya wakulima na wafugaji yazuka tena wilayani Mvomero

Waziri wa kilimo na mifugo mwenye kombati Mheshimiwa Mwigulu Nchemba 
MBUZI zaidi ya 70 wamekatwakatwa mapnga na wakulima na wananchi wenye hasira kali  kufuatia wafugaji wilayani Mvomero mkoa wa Morogororo kulisha mifugo katika mashamba ya wakulima.

Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvui Mh.Mwigulu Nchemba sambamba na mbunge wa Mvomero Selemani Muradi Sadick walifika katika eneo la tukio kujionea hali halisi ya yaliyojiri .


No comments:

Post a Comment