![]() |
| Donald Trump |
Bwana
Corey Lewandowski ameshtakiwa kwa shambulio dhidi ya aliyekuwa mwandishi wa
Breitbart Michelle Fields.
Mnamo
tarehe 8 mwezi Machi Bwana Lewandowski alimvuta na kumuangusha chini
alipojaribu kuuliza swali na kujeruhiwa mkono.
Bwana
Lewandowski anapanga kukana shtaka hilo,ilisema timu ya kampeni za bwana Trump

No comments:
Post a Comment