![]() |
| Waziri wa mambo ya nje wa Tanzania Augustine Mahiga |
Waziri
wa mambo ya nje wa Tanzania Bw Augustine Mahiga ameelezea kushtushwa kwake na
hatua hiyo ya bodi ya MCC akisema "imepuuza hatua kubwa tu zilizopigwa
kidemokrasia" nchini humo.
Mahiga anasema kuwa huo ni uamuzi wao na kwa sababu hela hizo
ni zao wanauhuru wa kuzitumia watakavyo ila anahoji kwanini uamuzi huo
uliafikia bila ya majadiliano na serikali ya muungano ya Tanzania.

No comments:
Post a Comment