Sunday, March 27, 2016

JOSHUA Nassari ashiriki mazishi ya Diwani wa CCM

Mbunge wa Arumeru mashariki Joshua Nasari (katikati) mwenye suti 
MBUNGE wa Arumeru mashariki Joshua Nassari ameshiriki mazishi ya aliyekuwa  Diwani pekee wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) katika halmashauri ya Meru, mkoani Arusha, Naftali Mbise.

Mazishi hayo yalifanyika  jana  katika Kata ya Ngarenanyuki ambayo alikuwa akiiongoza diwani huyo, Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste Tengeru, aliwasihi waumini wa dini ya Kikristo kujiweka tayari kwa maana hakuna mtu anayejua kesho itakuwaje.





No comments:

Post a Comment