Waziri mkuu wa Tanzania Kasimu Majaliwa |
WAZIRI Mkuu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa, zaidi ya dola za Kimarekani
bilioni 80 zinahitajika katika kukamilisha ujenzi wa miundombinu kwa nchi za
Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
Kassim Majaliwa amesema hayo jijini Dar es Salaam wakati akifungua
kikao cha tano cha Bunge la tatu la Jumuiya ya Afrika Mashariki
kitakachofanyika kwa muda wa wiki mbili.
No comments:
Post a Comment