Waziri wa Ujenzi , mawasiliano na uchukuzi Prof . Makame Mbarawa |
Profesa
mbarawa amesema hayo wakati akiongea na wafanyakazi wa wizara yake hivi karibuni jijini Dar es salaam.
Amesema kuwa "Hapa kuna wateja wamefika wanataka huduma wewe una
chati sio sahihi'' alisema bwana Mbarawa.
'Aidha
waziri huyo wa mawasiliano na uchukuzi amesema 'Tumepewa
kazi hizo kwa ajili ya kuwatumikia wananchi" Aliendelea kusema Mbarawa.
Ameongeza
kuwa watakaobainika kufanya hivyo watachukuliwa hatua za kisheria bila ya
kuonewa haya.
No comments:
Post a Comment