Wednesday, May 4, 2016

SERIKALI kupanda miti 185,000 kila mwaka ili kukabiliana nachangamoto za mabadiliko ya tabia nchi

TAASISI na wadau mbalimbali wa mazingira wametakiwa kupanda misti kwa wingi ili kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabia ya nchi yanayoikabili Tanzania .
WITO huo umetolewa na Naibu waziri ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia  muungano na mazingira, Runga Mpina wakati akiongea na wanahabri jijini Dodoma

Naibu waziri huyo amesema kuwa serikali kupitia ofisi ya makamu wa Rais mazingira imeweka mikakati ya kupanda miti laki moja na elfu sthemanini na tano kila ili kupambana na chanmgamoto za athari za mabadiliko ya tabia ya nchi.
 

No comments:

Post a Comment