Friday, April 8, 2016

TIMU ya Yanga kupambana na Al Ahly ya Misri kesho uwanja wa Taifa

Timu ya Yanga ya Dar es salaam, Tanzania 
TIMU  ya Yanga ya Dar es salaam nchini  Tanzania  itashuka dimbani kesho Jumamosi kucheza na Timu ya Al Ahly ya  Misri hatua ya 16 bora katika Ligi ya Mabingwa barani Afrika (CAF CL).

Mtanange huo utachezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuanzia saa 10 kamili kwa saa za Afrika Mashariki.
.
Yanga na Azam FC ndio wawakilishi pekee wa Tanzania waliosalia katika michuano.


.

No comments:

Post a Comment