Saturday, May 14, 2016

YANGA kukabidhiwa Ubingwa wa ligi ya VodaCom leo uwanja wa Taifa

Wachezaji wa  Yanga wakishangilia
TIMU ya Yanga ya jijini Dar es salaam leo inacheza na timu ya Ndanda ya Mtwara katika uwanja wa wa Taifa jijini Dar es salaam  katika kukamilisha ngwe ya  michuano ya ligi kuu ya vodacom (VPL).

Mbali na hayo Yanga itakabidhiwa  ubingwa wa Ligi ya VodaCom kwa mwaka 2015/2016 leo uwanja wa Taifa ambapo mgeni rasmio atalkayekabidi kombe hilo ni Waziri wa kilimo, Mifugo na Ushirika akiambatana na mkuu wa mkoa wa Dar es salaaam , Bwana Paul Makonda .

No comments:

Post a Comment