Saturday, May 14, 2016

PAKA mzee kuliko wote duniani anaishi nchini Marekani.


Paka Scooter

PAKA  mmoja aliyezaliwa wakati wa utawala wa rais Ronald Reagan mwaka ametajwa kuwa paka mzee duniani.

Kitabu cha kumbukumbu za rekodi mpya cha Guiness book of World records kilisema kuwa Scooter alisherehekea mwaka wake wa 30 tangu kuzaliwa kwake mnamo tarehe 26 mwezi Machi.
Anaishi huko Mansfield,Texas.Mmiliki wake Gail Floyd anasema kuwa Scooter ameishi kwa miaka mingi kwa kuwa husafiri sana.(BBC SWAHILI)

No comments:

Post a Comment