![]() |
| Waziri wa mambo ya nje wa Tanzania Balozi Augustino Mahigi |
Bwana
Kasiga amesema kuna mtandao unaowasafirisha wasichana katika nchi hizo kwa
madai ya kufanya kazi za ndani lakini baadae hutumikishwa kwenye biashara ya
ngono.
Amefafanua kuwa baadhi ya wasichana hao wemekimbilia kwenye
ubalozi wa nchi hiyo ili kuomba kurudishwa nyumbani
''
Mtandao huo unachofanya ni pamoja na kuwatafuta wasichana wenye
umri kati ya miaka 18 na 24 na hata chini ya umri huo na kuwalaghai kuwa kuna
fursa za ajira katika mahoteli, migahawa, maduka makubwa au kazi za nyumbani
nchi za nje na kwamba watawasaidia wasichana hao kupata kazi hizo pamoja na
kuwawezesha kupata vyeti vya kusafiria VISA na tiketi za ndege kwa ajili ya
kusafiri kwenda kwenye nchi husika''.

No comments:
Post a Comment