Thursday, August 11, 2016

ASKARI wawili wakamatwa kwa rushwa nchini Malawi

Askari wa malawi akipoke  rushwa 
ASKARI  wawili wa kike nchini Mlawi wenye cheo cha koplo wamenaswa na Kamera wakichukua rushwa toka kwa dereva wa pikipiki jirani na duka la vifaa vya ujenzi eneo la Limbe.

Kwa mujibu wa Gazeti la daily Times,  askari hao wawili walikamatwa na kamera maalum ya Tv Times  katika eneo tajwa hapo juu.
Askari hao hawakutumia kitabu cha risiti  cha serikali aambacho fedha zote hupelekwa katika akaunti namba moja, badala yake walichukua fedha hizo na kuziweka moja kwamoja mifukoni mwao..
Naibu msemaji wa polisi nchini Malawi, Bwana Thomeck Nyaude, amelalamikia hicho ambapo amesema kuwa watumia wabarabara wanaongezea kasi ya utoaji


No comments:

Post a Comment