Friday, August 12, 2016

MCHAKATO wa walimu wa serikali kusafiri bure unaendelea

JITIHADA za suala  la walimu wa serikali kusafiri bure zinaendelea mpaka vyombo vyote vya usafiri kukubali kufanya hivyo.


Hayo yamebainishwa mapema leo na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam.
Mheshimiwa Makonda amefafanua kuwa, walimu watasafiri bure katika usafiri wa gari moshi za Pugu-Stesheni  na Ubungo kwa vitambulisho ambavyo viko katika utaratibu wa daladala.




No comments:

Post a Comment