Tuesday, August 9, 2016

MISRI ;nchi ya kwanza barani Afrika kwa uzalishaji wa zao la kitunguu

MISRI  ni nchi ya kwanza barani Afrika kwa uzalishaji wa zao la kitunguu ikiwa inazalisha tani  1,758,618 kwa mwaka.

Kw amujibu wa takwimu zilizotolewa hivi karibuni na shirika la Kilimo na chakula duniani(FAO) ni kwamba  China ni nchi ya kwanza duniani kwa uzalishaji wa zao la kitunguu ikiwa inazalisha tani 20,897,638 kwa mwaka .
Kittunguu ni zaoa linastawi vizuri katika maeneo yenye udongo wa tifutifu na mahitaji ya zao hilo kwa matumizi mbalimbali yamekuwa yajiongezeka mwaka hadi mwaka.
Nchini Tanzania mkoa wa Singida ndiyo unaolima zao hilo kwa wingi.
 s


No comments:

Post a Comment