Friday, September 9, 2016

MAJASIRIAMALI abuni teknolojia ya kupanda maua kwa kutumia viatu

MJASIRIAMALI  raia wa Kenya Wanjiru Waweru-Waithaka ameamua kupanda mimea ya maua katika viatu vya plastiki vikuu kuu.

Anasema mimea ya maua inayopandwa kwenye viatu vya plastiki vikuu huwafanya wateja wanaotembelea biashara yake ya kuuza vitanda vya watoto, katika mji wa Kikuyu nje ya jiji la Nairobi watabasamu.



No comments:

Post a Comment