Monday, March 31, 2014
MKESHA kilele cha maadhimisho ya muungano ni tarehe24, april.Naibu katibu mkuu ofisi ya waziri mkuuu Profesa Ole Gabriel ameeleza kuwa kilele cha maadhimisho ya muungano kitafanyika april, 24 katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dare es salaam.Profesa Gabriel amyasema hayo jana wakati akihitimisha Tamasha la Muungano katika viwanja vya mnazi mmoja, jijini Dar es salaam, wakati akifunga Tamasha la Muungano mkoani Dar es salalam ambapo Tamasha hilo lilifanyika katika maeneo ya Kawe kwa wilaya ya Kinondoni, TCC Changombewilaya ya Temeke na Mnazi moja wilaya zotya Ilala.aamesema kwa tenzi na nyimbo zilishinda zitakuwa zikipigwa na kusomwa katika vyombo mbalimbali vya habari habari nchini kwa lengo la kuhamasisha wananchi kuuenzi Muungano wetu.Naye mshehereshaji katika Tamasha hilo ambaye pia ni mtangazaji wa TBC Taifa Bwana Masoud Masoud aliitaka jamii kutosikiliza maneneo ya watu wachache wenye lengo la kuuvunja Muungano.Watanzania wametakiwa kujitokeza kwa wingi siku ya tarehe 24, mwezi april katika viwanja vya mnazi mmoja ili kuweza kupata historia na faida ya Muungano kupitia tenzi, nyimbo za taarabu, na wasanii mbalimbali wa hapa nchini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment