Friday, March 28, 2014

Wananchi wa kilosa wakumbwa na mafuriko.MVUA zinzoendele nchini zimesababishwa mafuriko katika kata za Magomeni na Masanze wilayani Kilosa, mkoa wa Morogoro nyumba zaom kujaa maji huku mifugo na vyombo vikisombwa na maji.Diwani wa kata ya Magomeni Mheshimiwa Bakari H. kilo ametaarifu kuwa Afisa mipango wa wilaya amefika katika eneo hilo kwa lengo la kupata tathmini ya awali ili kuitaarifa mamla ya wilaya na mkoa kuweza kuchukua hatua satahiki .Amesema kuwa daraja la mkondo nalo liko katika hali mbaya kwani kama mvua zitaendelea kunyesha mkoani Dodoma kuna uwezekano mkubwa daraja hilo kujaa maji na kusababisha usumbufu kwa kwa wananchi kwakuwa ndio kiunganishi cha usafiri kati ya Kilosa na Mikumi.Amesema maeneo yaliyoathirika na mafuriko hayo ni Mbwa maji, Magomeni, Masanze na Rozi Estate.Mafuriko wilayani humo husababishwa na mvua kubwa zinazonyesha mkoani Dodoma na kusababisha Bwawa la Mtera kujaa maji na kutirisha katika mto mkondoa ambao hushindwa kuhimili na kusababisha mafuriko katika ya jirani naogoro n

No comments:

Post a Comment