Monday, April 21, 2014

IDARA ya uhamiaji inachangia mapato kwa kiasi kikubwa

IDARA ya uhamiaji  inachangia sana kukusanya mapato kwaajili ya Zanzibar na Bara.

Saidi Kamugisha , kamishina wa uhamiaji kitengo cha shria amebainisha hayo mwisho mwa wiki katika mahojiano na waandishi wa habari jijini Dar es salaam..
Amesema mbali na hayo marekebisho ya sheria mbalimbali za uhamiaji zimesaidia kuwawezesha wananchi wa Tanzania kupata huduma bora na kuondoa urasimu katika kupata huduma za idara hiyo.

No comments:

Post a Comment