Saturday, April 19, 2014

PEMBEJEO za kilimo haziwafikii walengwa



IMEELEZWA kuwa kati ya asilimi 40 hadi 70 za pembejeo za kilimo zinazotolewa na serikali nchi  haziwafikii walengwa.

Watafiti toka Chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine cha Morogoro wamebainisha hayo  hivi karibuni katika semina iliyoandaliwa na Mtandao wa vikundi vya wakulima (MVIWATA) katika kuelimisha wadau wa kilimo matumizi bora ya radhi yaliyofanyika mjini Morogoro.

Kutokana na hali hiyo wataalamu hao wa kilimo wameishauri serikali kutumia mbinu ya kielectroniki itakayowawezesha wakulima kupata pembejeo hizo kwa uhakika.



No comments:

Post a Comment