SERIKALI imetakiwa kutenga bajeti ya kutosha kwaajili ya wakaguzi wa elimu nchini ili kuleta matokeo makubwa sasa (BRN)
Wabunge wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania wamesema hayo leo mjini Dodoma wakati wakichangia bajeti ya wizara ya eluimu na mafunzo ya ufundi.
Wamesema idara ya ukaguzi ni muhimu kwa kila halmashauri ya wilaya ili walimu waweze kukaguliwa lengo likiwa ni kuboresha elimu.
No comments:
Post a Comment