WATANZANIA wametakiwa kupambana na rushwa ili kuliwezesha Taifa kuepukana na mmomonyoko wa maadili na kupindisha haki.
Kauli hiyo imetolewa leo mjini Bukoba , mkoani Kagera na Makamu wa kwanza wa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk Mohamed Gharib Bilal wakati akizindua mbio za mwenge wa uhuru ambpo kauli mbiu za mwaka huu ni mapmabno dhidi ya rushwa.
Mheshimiwa Bilali amesema kuwa vita dhidi ya rushwa ni ya watanzania wote kwakuwa madhara yake yanamgusa kila mtanzania.
Aidha Dk Bilal amewataka watanzania kujiepusha na vitendo vinavyochocheza ngono ili kuepukana maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi ambao una uwa watu wengi kila uchwao.
No comments:
Post a Comment