Thursday, May 29, 2014

SERIKALI imetakiwa kutunga sheria ya kutetea maslahi ya waandishi wa habari



WABUNGE  wameitaka serikali kutunga sheria pana ya vyombo vya habari itakayogusa mambo mengi imkiwemo bima ya maisha wakiwa kazini.

Ushauri huo umetolewa leo bungeni mjini Dodoma na  wabunge wakati wakichangia  bajeti ya wizara ya habari,vijana ,utamaduni na michezo.>............................


Wabune hao wamefafanua kuwa mazingira ya waandishi wengi hasa wanaofanya kazi katika vyombo vya habari vya  binafsi  ni hatari kwao kwani wengi  hawana bima za maisha , wanalipwa mishahara duni na hawana mikataba ya kisheria inayowabana waaajiri wao.

Hata hivyo wabunge hao wamewataka  waaandishi wa habari kufuata maadili ya taaluma  ya habari kuepusha sintofahamu katika jamii.

No comments:

Post a Comment