SERIKALI imeingiza kiasi cha shilingi za
kitanzania zipatazo 931,611,239 kwa mwaka 2013/2014 zilizokusanywa kutokana na
udhibiti wa biashara ya mazao ya misitu.
Hayo yamebainishwa juzi na waziri wa Maliasili na Utaliii Mheshimiwa Lazaro Nyarandu alipokuwa
akiwasilisha bajetio ya wizara hiyobungeni mjini Dodoma
Ameeleza kuwa doria
hizo zilifanyika nchi nzima jumla ya watuhumiwa 263 wa biashara hiyo
walikamatwa kati yao 72 walifungwa na 176 walilipa faini ,watatu waliachiwa
huru na 12 hukumu hazijatolewa.
Mbali na hayo jumla ya vipande 1,000,015vya mbao,mkaa mifuko
48,235 na magogo 8,520 yamekamatwa
No comments:
Post a Comment