![]() |
| Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora Suzan Kaganda akiongea na waandishi wa habari |
MKAZI wa kijiji cha
Igurubi wilaya ya Igunga Mkoani Tabora anashikiliwa na jeshi la polisi
kwa tuhuma za kuwaingilia kimwili watoto wenye umri wa chini ya miaka kumi
baada ya kuwarubuni kwa kuwapa ubuyu na shilingi 500.
Hayo
yamethibitishwa na kamanda wa polisi Mkoani Tabora SUZANA KAGANDA amesema tukio
hilo limetokea hivi karibuni katika mtaa wa Muhaya kijiji cha Igurubi na
kuntaja mtuhumiwa huyo kuwa ni SUDI SEIF mwenye umri wa miaka (47).
Kamanda
KAGANDA ameeleza kuwa mtuhumiwa huyo anadaiwa kuwatendea unyama watoto
hao kwa kuwalaghai kuwapa ubuyu na pesa endapo wengekubaliana nae kufanya tendo
la ndoa ambapo kwa kuwa watoto hao walikuwa wadogo alifanikiwa
kuwashawishi na alianza kwa kumchukua mtoto wa kwanza mwenye umri wa
miaka (5) na miezi 4 anayesoma chekechea shule ya msingi Igurubi.
Amesema
akiwa chumbani na mtoto huyo alimwingilia kimwili katika sehemu zote za siri na
kumsababishia maumivu makali hadi wazazi wake walipomgundua wakati aliporudi
nyumbani muda wa jioni ambapo amedai baada ya tukio hilo kwa umri wa miaka 9
anayesoma darasa la pili shule ya msingi Ikonda kata ya Igurubi aliyemfanyia
kama mtoto wa kwanza.
Aidha kamanda KAGANDA amesema kuwa mtuhumiwa
huyo alikamatwa na kundi la wanakijiji nyumbani kwake na aliokolewa na askari
polisi

No comments:
Post a Comment