MBIU YA MAENDELEO

Pages

  • Home
  • Contacts
  • Makala
  • About Us

Thursday, June 26, 2014

GANAVA wa Lamu nchini Kenya afikishwa mahakamani kwa mauaji ya Mpeketoni





 
GAVANAavana wa kaunti ya Lamu Pwani ya Kenya amefikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa mauaji ya zaidi ya watu sitini katika eneo la mpeketoni.


Issa Timamy hata hivyo hatakiwi kujibu mashtaka hayo wakati huu.
Timamy alikamatwa Jumatano jioni na maafisa wa polisi na kuhojiwa kabla ya kuzuiliwa usiku katika kituo kimoja cha polisi. Alifikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali wa polisi.
Aidha Timamy anakuwa mwanasiasa wa kwanza wa ngazi ya juu kushtakiwa kuhusiana na mauaji hayo, ambayo ni mabaya zaidi tangu yale yaliyotokea katika eneo la Westgate Jijini Nairobi.




Posted by mbiu ya maendeleo at 8:45 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Dira ya mazingira

Dira ya mazingira
Sikiliza kipindi cha Dira ya Mazingira kinachorushwa na Mbiu ya Maendeleo Media Group kupitia Mass 89.8 .Jumamosi saa 3:00-4:00usiku,jumatatu saa 3:00 -4:00 usiku na marudio Alhamisi saa 3:00-4:00 usiku.Redio Jamii Kilosa,siku ya jumamosi saa tatu usiku

*WEBSITE SOLUTION*

*WEBSITE SOLUTION*

nukuu

nukuu

Popular Posts

  • KIZA BESIGYE akamatwa na polisi mjini Kampala
    Kiza Besigyakiwa chini ya ulinzi wa polisi  MGOMBEA  urais wa chama cha upinzani cha FDC nchini Uganda Kizza Besigye amekamatwa na kuzu...
  • Dkt Kizza Besigye akamatwa tena na polisi nchini Uganda
    Dkt Kiza Besigye  WANAJESHI wa Uganda wakishirikiana na maafisa wa polisi wamevamia na kuzingira afisi za chama cha upinzani za Forum f...
  • SAMPULI ya Vitambaa kwa ajili ya Vazi la Taifa
    VITAMBAA    aina ya Vitenge vilivyopendekezwa kwa ajili yaVazi la Taifa Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Habari...
  • JKT RUVU yaahidi kuongeza uzalishaji wa kuku
    Maaskari wa JKT Ruvu wakilisha kuku TATIZO la upatikanaji wa nyama za kuku katika mikoa ya Pwani na Dar es salaam limepatiwa ufum...
  • CHUO cha kilimo Uyole chagundua aina tano za mbegu ya ngano
      Rose Mongi mtafiti wa mbegu za ngano na maharage ARI-Uyole Mbeya CHUO cha kilimo na utafiti Uyole mkoani Mbeya kimegund...
  • HOSPITALI ya rufaa mkao wa Morogoro yakiri Mochuwari kuzidiwa
    Hopsitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro BAADA ya waandishi wa habari   kuripoti hali mbaya chumba cha kuhifadhia maiti Hospitali ya ruf...
  • NDEGE aina ya kwereakwerea wavamia mashamba ya mpunga wilaya ya Mvomero
    NDEGE wanaosadikiwa kuwa Kwerea kwerea wamevamia mashamba ya mpunga na kula mipunga iliyokuwa imeanza kukomaa katika vijiji vilivyo ...
  • MOCHUWARI hospitali ya Morogoro yazidiwa
    Hospitali ya mkoa wa Morogoro HALI ya chumba cha kuhifadhia marehemu Hospitali ya rufaa mkoani Morogoro ni mbaya.
  • MBUNGE wa Morogoro mjini akabidhi matundu kumi ya choo
    Mbunge wa Morogoro Mjini Abdul Aziz Abood(kati) HATIMAE m bunge wa Morogoro mjini AbdulAzizi Abood amekabidhi matundu 10 ya vyoo vya...
  • WANANCHI wamiminika viwanja vya sabasaba jijini Dar es salaam
    Viwanja vya sabasaba Kilwa Road jijini Dar es salaam MAONESHO ya 38 ya sabasaba yanaendelea katika viwanja vya   mwalimu Julius Nye...

follow us

  • twitter
  • facebook

Blog Archive

walio tembelea blog hii

Design by:swahili digital network(www.swahilidigital.net). Simple theme. Powered by Blogger.