RAIS wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho
Kikwete leo amefungua Semina ya Commodity Exchange Dodoma kwa wafanyabiashara
.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akifungua Semina ya Africa Rural Commodity Exchange iliyofanyika katika ukumbi
wa St.Gasper uliopo nje kido ya mji wa Dodoma .
Semina hiyo yenye lengo la kuwajengea uwezo wafanyabiashara sanjari na
kuwaonesha fursa za kibiashara Afrika mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla .
Katika uzinduzi huo Rais Kikwete
aliambatana na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.

No comments:
Post a Comment