SERIKALI imetakiwa kuunda kamati mahususi itakayosimamia na kuendesha Vico na Saccos nchini ili kuepusha
tabia ya utapeli inayofanywa na baadhi ya Taasisi za fedha nchini .
Ushauri huo umtolewa leo
Bungeni mjini Dodoma na makamu mwenyekiti wa kamati ya fedha na uchumi
Mheshimiwa Darkness Standura wakati akichangia bajeti ya wizara ya fedha
na uchumi.
Amesema kuwa , kwa muda
mrefu hakuna sheria inayotawala
uendeshaji na usimamazi wa Taasisi za fedha vijiji hali ambayo
inachangia wananchi wengi kutapeliwa na Taasisi feki za fedha hasa katika
maendeo ya vijijini
No comments:
Post a Comment