Wednesday, June 18, 2014

WATANO wafariki, 30 hawajapatiokana mpaka sasa baada ya boti kuzama nchini Malaysia


Waokoaji nchini Malaysia wakiopoa maiti zilizozama kwenye boti

WAOKOAJI wanaendelea kutafuata miili ya watu 30  baada ya boti waliyopanda kuzama pwani  ya bahari ya Malaysia katika jimbo la Selangor.

Katika msako huo unaoendelea imeabainika kuwa watu watano  wamefariki,huku  watu wengine 61 wamejeruhiwa.. Boti hiyo  inadhaniwa kuwa ilibeba watu 97 ambao ni wananchi wa  taifa la Indonesia.
Kwa mujibu wa msemaji wa wakala wa  mambo ya bahari ya  nchini Malaysia amesema watvu hao walikuwa wanaondoka nchini Malaysia kinyume cha sheria...





No comments:

Post a Comment