DAKTARI Myles Bradbury wa Hospitali ya Cambrigde nchini Uingereza
, mwenye umri wa miaka 41,anafikishwa mahakamani leo kwa kosa la kuwadhalilisha
watoto wadogo kati ya umri wa miaka aliyefanya kazi ya kuwatibu watoto wadogo
katika hospitali ya Addenbrooke, anadaiwa 11 na 15.
Tukio
hilo lilitokea mwaka 2011 na 2013 nchini humo, lakini haijajulikana kama
daktari huyo aliwadhalilisha watoto hao hospitali au sehemu nyingine
Kushikiliwa kwa Daktari huyo na kutokana na
mashitaka ya makosa manne ya kuwadhalilisha watoto hao kingono na kuwachochea
au kujihusisha kingonona watoto wavulana. Pamoja na hayo anakabiliwa na kosa la
kuwapiga watoto wadogo picha wakiwa uchi.
Daktari huyo tayari alifukuzwa kutoka
katika hospitali hiyo.
Wazazi na watoto ambao wameathirika
kutokana na vitendo vya daktari huyo wanapata ushauri nasaha.
No comments:
Post a Comment