Waislamu wakipata futari |
WAISLAMU wametakiwa kujiepusha na vitendo vya
kujionesha pindi wanapotekeleza ibada ya kufuturisha katika kipindi hiki cha
mwezi mtukufu wa ramadhani.
Baadhi ya waislamu wa mjini Mtwara
wametoa ushauri huo mapema leo mjini hapo kufuatia kasi ya waislamu na wasio waislamu kufuturisha kwa lengo la
ama kujionesha au kupata thawabu kwa Mwenyezimungu.
Wamesema nivyema masheikh
wakafafanua jambo ili kisheria ili
kuepusha dhana nzima ya kufuturisha kuondoka maana yake na watu kutopata
thawabu mbele ya muumba
No comments:
Post a Comment