![]() |
Magunia ya mkaa yakiwa sokoni |
WAKAZI wa kataya
Kisanga,tarafa yaMikum iwilayani Kilosa, mkoa wa Morogorowamesema kuwa ukataji
miti ovyo unachangaia na ukosefu wa njia mbadala za kupambana na
umaskiniwakipato toka Serikali ya kijiji na Halmashauri ya wilaya.
Wakiongeana Mbiu
ya Maendeleo ,wishoni mwa wikiwananchi haowamesema , rasilimali inayowazunguka ni
madini na misitu,lakini kati ya rasilimali hizo madini yanahitaji mtaji mkubwa
sanjari na elimu ya kutosha juu ya namana ya kuchimba na kuendesha biashara husika.
Wameulalamikia
uongozi wa kata na Halmashauri ya wilaya kwa kutoa wapatia njia mbadala ya
kujikwamua kiuchumi ,kwani kwa kutegemea misitukwa kuchoma mkaa na kuuza kuni
ni hatari kwa kizazi kijacho .
No comments:
Post a Comment