Mgodi wa Buzwagi wa Kahama, mkoani Shinyanga |
KAMPUNI ya Acacia
inayomiliki mgodi wa dhahabu wa Buzwagi mkoani Shinyanga, imesema ndani ya
miaka miwili, itasitisha shughuli za uchimbaji na uzalishaji madini hayo,
kutokana na soko kuzidi kushuka.
Hayo yamesemwa hivi karibuni na Meneja mkuu wa Kampuni ya Acacia Bwana Filbert Rweyemamu wakati akiongeana waandishi
wa habari.
No comments:
Post a Comment