![]() |
Nyumba ya Askari magereza iliyobomolewa na mvua |
BAADHI
ya nyumba za askari magereza wa
gereza la Mtego wa Simba Kingolwira Morogoro zimengolewa na kubomolewa na mvua
iliyokuwa imeambatana na upepo mkali juzi majira ya saa 9 jioni.
Jengo refu lenye tofari nyekundi ni
stoo ya kuhifadhi chakula cha wafungwa likiwa limeezuliwa na kuliacha
wazi.Hatari ya vyakula kuharibika kwa kunyeshewa mvua.
Kanisa la Assemblies of God la Mtego
wa Mimba likiwa limengolewa paa na kusababisha adha kwa waumini wa kanisa hilo
kupata huduma za kiroho
No comments:
Post a Comment