Tuesday, February 10, 2015

CAF yapongeza mashindano ya AFCON


Nahodha wa IVORY Coast Yaya Toure akisubiri kupokea kombe

KATIBU MKUU wa Shirikisho la Mpira wa Miguu, barani Afrika, amezielezea Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zilizofanyika nchini Equatorial Guinea kuwa "maajabu"


Mwezi Novemba pekee, wenyeji wa awali, Morocco iliomba michuano hiyo icheleweshwe, lakini ombi hilo lilikataliwa, na kusababisha ihamishwe.

Licha ya ghasia na huduma duni, Hicham el Amrani ameeleza kuwa yalikuwa mashindano yenye mafanikio





No comments:

Post a Comment