Tuesday, February 10, 2015

WAKALA wa huduma za misitu Kilosa kutoa elimu ya uhifadhi na utunzaji wa misitu



Maporomoko ya maji katika misitu ya Asili

WANANCHI vijiji vinavyotekeleza mradi wa mkaa Endelevu wanaraajia kupata elimu bora juu ya faida na hasara  za mradi huo toka kwa wakala wa huduma za MISITU nchini .

Meneja wa wakala wa huduma za misitu wilayani Kilosa , Morogoro Bwana John Ulomi ameiambia Mbiu ya ya maendeleo kuwa, elimu hiyo itatolewa kwa siku mbili , ikiwa ni pamoja na kutembelea vijiji vinavyotekeleza  mradi  huo ulio chini ya MJUMITA

No comments:

Post a Comment