MAADHIMISHO ya wiki ya maji yaliyoanza mwanzoni mwa wiki hii kilele chake kinatarajiwa kuwa kesho ambapo mambo mbalimbali yafanyika nchini kote.
Baadhi ya wananchi wa mkoa wa Morogoro walioongea na kipindi cha Dira ya Mazingira wamesema, bado serikali na wizara ya maji kwa ujumla inachangamoto kubwa ya kutunza na kuhifadhi vyanzo vya maji vilivyopo mkoani Morogoro ili kuwezesha utekelezaji wa sra ya maji ya Taifa
Sera ya maji ya taifa inasema kuwa, ifikapo mwaka 2022 wananchi watapata maji safi na salama.
No comments:
Post a Comment