Wananchi wa Magomeni, Kilosa mjini , waanaoishi jirani na mto Mkondoa wakihamsha vitu |
WAKAZI wa wilaya ya Kilosa wametakiwa kutumia vyema
vyanzo vya maji ya mto mkondoa kwa kilimo cha umwagiliaji ili kujikwamua
kiuchumi .
Aidha wananchi hao wa Kilosa mjini na vitingoji vyake wamekumbushwa
pia kutunza miundo mbinu kwa lengo lamkuepusha mafuriko yenye kusababisha
hasara.
Ushauri huo umetolewa mapema wiki hii na wadau wa mazingira katika
mahojiano maalum na kipindi ch Dira ya Mazingira katika kusheherekea wiki ya
maji ambayo kilele chake ni machi ,22
Serikali haijatoa ushirikiano wa kutosha kuhusu kuwaelimisha wananchi namna ya kuhifadhi vyanzo vya maji.John wa Kidete
ReplyDeleteMto Mkondoa unasumbua sana.Ahadiza serikali vipi kuondoa tatizo la mafuriko ya mar akwa mara?MWANANCHI MWEMA
ReplyDelete