![]() |
Wananchi wakifanya usafi wa mazingira |
WAKAZI wa
mji wa Kilosa na vitongoji vyake,
wilaya Kilosa , mkoani Morogoro
wametakiwa kutunza mazingira katika kipindi cha mvua ili kuepuka magonjwa ya
kuambukiza.
Wito huo umetolewa hivi karibuni
mjini Kilosa na wanaharakati wa Mazingira wilayani humo Bwana Mashaka Maringo wakati akiwahamasisha kutunza
mazingira .
Amesema, mvua huwa zinamabatana na
baadhi ya magonjwa hivi suala la kutunza mazingira ni muhimu ili kuepuka
magonjwa hususani katika kipindi hiki cha mvua za masika.
No comments:
Post a Comment