![]() |
Wananchi wakitupa taka katika gari maalum |
UTUNZAJI wa mazingira
kwa kuondoa taka ngumu na nyepesi unaweza
kuwa njia mbadala ya kuwawezesha
wananchi kuondokana na umaskini wa kipato.
Wataalamu wa Mazingira wameeleza hayo mwishoni mwa wiki
katika mahojiano maalum na kipindi cha Dira ya Mazingira mjini Morogoro .
Wamesema kuwa,
Tanzania kwasasa inazalisha taka ngumu na zile laini kwa kiwango kikubwa sana ,
hivyo ni muhimu kwa watanzania kuchangamkia fursa hiyo.
No comments:
Post a Comment