Wataalamu wa kilimo wakiwa katika jengo la H/W ya Kilosa |
VIJIJI
47 katika Halmashauri yawilaya ya
Kilosa, mkoani Morogoro vinatekeleza mpango wa matumizi bora ya Ardhi.
Hayo yamebainishwa hivi karibuni na
mkuuwa Idara ya Ardhi na Maliasili Halmashauri ya wilaya ya Kilosa Bwana
Ibrahimu Ndembo katika kipindi cha Dira yaMazingira.
Amesema, mpango huo unaofadhiliwa na
TFCG utapunguza migogoro ya Ardhi
wilayani Kilosan na hivyo kuongeza tija katika matumizi bora ya ardhi
No comments:
Post a Comment