Sunday, March 15, 2015

WATANZANIA watakiwa kushirikiana na wataalamu wa mazingira


Jangwani, jijini ,Dar es salaam

WATANZANIA  wametakiwa kushirikiana na wataalamu wa masuala ya mazingira kuhakikisha kuwa vyanzo vya maji na miundo mbinu inatunzwa.

Wito huo umetolewa hivi karibuni jijini Dar es salaam na wataalamu wa mazingira toka Baraza la Uhifadhi na usimamizi wa mazingira nchini (NEMC) wakati wakiongea na kipindi  Dira ya Mazingira.
Wamesema kuwa , mafuriko yanayotokea jijini Dar es salaam na maeneo mengine nchini, yanasababishwa na wanachi kuharibu miundo mbinu iliyojengwa na serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo nchini na nje

No comments:

Post a Comment