Leicester City walikuwa nyumbani kukipiga dhidi ya vinara wa ligi hiyo Chelsea.
Hadi mwisho wa mtanange huo Chelsea wameibuka na ushindi mnono wa mabao 3-1.
Chelsea huwenda wakatangaza ubingwa Jumapili ya mwisho wa wiki hii kama watafanikiwa kuwafunga Crystal Palace katika dimba la Stanford Bridge
No comments:
Post a Comment