WAKAZI
wa mji mdogo wa Mikumi na vitongoji
vyake wameipongeza ofisi ya wakala wa huduma wa misitu(TFS)wilaya ya Kilosa kwa
kuweka vibao vinavyoonesha umuhimu wa misitu na kuwahimiza wananchi kutunza mazingira.
Wakiongea na Dira ya Mazingira katika
mji mdogo wa Mikumi, mapema jana, baadhi ya wananchi wamesema hiyo ni ishara
kuwa TFS wanafahamu vyema majukumu yaona kitendo hicho kitawafanya wananchi
kukishiri kikamilifu katika Utunzaji na uhifadhi wa misitu ya asili sanjari na
ile ya kupandwa..
Ni muhimu ili kujenga uelewa Wa jamii katika kutunza rasilimali misitu na Mazingira
ReplyDelete