Raia
huyo wa Cech aliichezea Chelsea mechi 16 msimu uliopita na amekuwa katika
uwanja wa Stanford Bridge kwa takriban miaka 11.
Ameichezea
Chelsea mara 300 na kushinda mataji 4 ya ligi,4 ya kombe la FA,mataji 3 ya
kombe la ligi ,taji moja la vilabu bingwa Ulaya na taji moja la kombe la
Yuropa.
No comments:
Post a Comment