Wednesday, June 24, 2015

JIJI la Dar latumia gunia laki mbili kwa mwezi



JIJI la Dar es salaaa linakadiriwa  kutumia magunia ya mkaa yapatayo laki mbili mpaka tatu kwa mwezi.

Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa hivi karibu na ofisi ya makamu wa Raisi kitengio cha mazingira katika Tathimini ya hali ya mazingira nchini , inasema kuwa moja ya sababu kuu ni kipato  duni kwa wananchi waishio jijini Dar es  slaam hususani wafanyabiashara wa vyakula .
Ripoti hiyo imefafanua kuwa , miakakati ya kiwizara na kisektainafanya jitihada mbalimbali kuhakikisha kuwa matumizi ya nishati mbdala yanawafikiwa wakazi wengi wa jiji la Dar es salaam 

No comments:

Post a Comment