Tuesday, June 30, 2015

MAONESHO ya 39 ya sabasaba yaanza jijii Dar

Askari wa JKT akiwa katika banda  akionesha ufugaji bora wa kuku
WIZARA, Idara, Taasisi, Makampuni  na Asasi mbalimbali zinashiriki katika maonesho ya sabasaba yanayofanyika uwanja wa MWL J.K Nyerere jijini Dar es salaam .

No comments:

Post a Comment