![]() |
| Mashabiki wa Chile wakishangilia |
Nusura kiungo wa kati wa Chile Arturo Vidal kuondolewa mapema,
hata hivyo bahati mbaya ilikua wa mlinda lango wa Peru Carlos Zambrano
aliyepewa kadi nyekundu.
Aliyekua mshambuliaji wa klabu wa QPR ya Uingereza Eduardo
Vargas alisaidia Chile kupata bao la kwanza dakika ya 42.
Hata
hivyo Peru ilisawazisha pale Gary Medel alipojifunga bao. Vargas ndiye
aliipatia Chile bao la pili na la ushindi katika dakika ya 64.
Chile haijawahi kushinda kombe la Copa kwa karibu karne moja.
Chile wanaingia fainali hapo Jumamosi ambapo huenda wakachuana na Argentina au
Paraguay

No comments:
Post a Comment