MGOMBEA urais kupitia chama cha mapinduzi Dk John Pombe Magufuli leo anatarajiwa kuwasili mjini Morogoro katika ziara yake ya kuwasalimia wananchi.
Mheshimiwa Magufuli anatoka mkoa wa Dodoma ambapo jana kabla ya kuwasili mjini Dodoma alikuwa wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga katika ziara yake hiyo ya utambulisho kwa wananchi.katika ziara yake ya kuwasalimia wananchi .
.

No comments:
Post a Comment